- chutama
- ------------------------------------------------------------[Swahili Word] -chutama[English Word] crouch[Part of Speech] verb[Swahili Definition] kuinama; kuwa katikati ya kukaa na kusimama [Masomo 166][Swahili Example] alichutama chini ya yule kijana na kumkodolea macho mfululizo [Sul]------------------------------------------------------------[Swahili Word] -chutama[English Word] squat[Part of Speech] verb[Swahili Example] aliona shida kutumia meko ya kuchutama na moto wa kuni [Ya]------------------------------------------------------------
Swahili-english dictionary. 2013.